
Saturday, 6 September 2014
DIWANI AMSHUSHIA KIPIGO DENTI

DIWANI wa Kata ya Sinza kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Dar, Renatus Pamba ‘Mr. Simple’ anadaiwa kumshushia kipigo denti wa Chuo cha Ubaharia cha EMI jijini Dar, Alpha Mohamed (18) mpaka kumsababishia kupoteza fahamu, Risasi Jumamosi limenyetishiwa.
LUNDENGA, MISS TANGA WAZICHAPA

KW/RB/8441/2014 imemshikilia Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga kwa madai ya kuzichapa na Miss Tanga 1997, Mona Faraja ambaye pia ni mke wake na kumsababishia majeraha, Risasi Jumamosi lina ‘full’ stori.
LULU AMPA SOMO MTOTO WA MIL. 50 ZA TMT

MUIGIZAJI mwenye mvuto wa aina yake katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ amempa somo mshindi wa Shindano la Tanzania Move Talent ‘TMT,’ Mwanafaa Mwinzago kuwa asibweteke na ushindi aliopata bali azingatie masomo.
AJALI YAUA 21 MAGU

Ajali hiyo imelihusisha basi la J4 lililokuwa likitoka Mwanza kwenda Sirari lililogongana na gari aina ya Coaster eneo la Magu mkoani Mwanza.
TAMASHA LA SERENGETI FIESTA KUFANYIKA KESHO MUSOMA


MAINA ATESWA NA PENZI LA ASLAY

HISIA! Mrembo aliyetinga hatua ya Tano Bora ya Shindano la Bongo Star Search (EBSS) 2013, Maina Thadei ameibuka na kuelezea hisia zake kuwa anateswa na penzi la staa wa Bongo Fleva, Asilahi Isihaka ‘Aslay’
Friday, 5 September 2014
Orodha Ya Wasanii Wanaowania Tuzo Za BET Hiphop 2014 Na Msanii Aliyetajwa Zaidi.

Thursday, 4 September 2014
Wednesday, 3 September 2014
AYSHA CHEYO NDIYE MISS TANZANIA USA PAGEANT 2014

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA JIJNI NAIROBI

MAHAKAMA YAMFUNGA JELA MWIZI WA NYAYA ZA TTCL

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es Salaam imemuhukumu kwenda jela miaka minne, Shaibu Muhidin Ndina baada ya kupatikana na kosa la kuiba nyaya za Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).
JUMBA LA BBA LILIVYOTEKETEA KWA MOTO

ROSE NDAUKA ASEMA UCHUMBA WAKE NGANGARI
DIMPOZ NUSURA ASHUSHWE JUKWAANI

Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ juzikati alipata wakati mgumu baada ya mademu kumvaa na kutaka kumporomosha jukwaani wakati wa shoo ya Nani kama Mama iliyofanyika katika Ukumbi wa Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
MTALAKA WA NORA ASAKA WENYE SHEPU

Mtalaka wa msanii mkongwe wa filamu Nuru Nassoro ‘Nora’, Luqman Nassoro amesema anasaka wasichana warembo na muonekano mzuri kuanzia sura hadi shepu kwa ajili ya kufanya nao kazi.
KICHENI PATI YA LUCY KOMBA MSHANGAO!

NI mshangao! Sherehe ya kicheni pati ya staa wa filamu Bongo, Lucy Komba imewashangaza waalikwa wengi baada ya kutawaliwa na vitu vingi vya kiasili tofauti na matarajio ya wengi
Tuesday, 2 September 2014
SURA NA SAUTI YA WEMA NDIO INANIFANYA NIWESHABIKI YAKE NAMBA MOJA HADI TANO WENGINE WOTE WANAANZIA SITA!!!
Hi Admin, Kwakifupi mimi ni kijana (ME) napenda kuelezea hisia zangu za
ushabiki wa kumpenda mwanadada Wema Wasepetu...Toka nipo O Level hadi
sasa nipo chuo mwaka wa nne nimekuwa namfuatilia kwa karibu sana
mwanadada huyu zamani kupitia magazeti ya udaku na hadi sasa
FACEBOOK,INSTAGRAM,TWITTER na hadi kwenye BLOG za Udaku Kama hii....
TETESI ZA USAJILI LEO LEO
*Falcao atua Old Trafford, Chicharito Real Madrid
*Defoe kurudi EPL, Van Gaal atafutia sita pa kwenda
*Daley blind naye atua Old Trafford
*Danny Welbeck, aonekana Arsenal
*Defoe kurudi EPL, Van Gaal atafutia sita pa kwenda
*Daley blind naye atua Old Trafford
*Danny Welbeck, aonekana Arsenal
FUNGA KAZI YA USAJILI
Dirisha la usajili limefungwa msimu huu, habari kubwa ikiwa ni ya
Radamel Falcao kutua Manchester United na Danny Wellbeck kutoka Man U
kwenda Arsenal kwa mkataba wa muda mrefu.
Monday, 1 September 2014
Majambazi wamuua sista, wapora fedha
Wananchi wakiangalia sehemu ambayo majambazi walimpiga risasi Sista Clencensia Kapuli Ubungo, Riverside, Dar es Salaamana.jana. Picha na Michael Matemanga
Post Ya Shakira Kuhusu Mtoto Wa Pili Na Gerard Wa Barcelona
Shakira na Gerard Pique wametangaza rasmi kuwa wanategemea mtoto wa pili
kwenye familia yao. Msanii huyu kutoka Colombia ametangaza August 28
kupitia twitter kuwa wanategemea mtoto wa pili na wanashukuru mashabiki
kwa maombi yao
Kuhusu Wale Kusitisha Mkataba Wake Na Roc Nation Ya Jay Z Baada Ya Miaka 5.
Mtandao wa XXL umeripoti kuwa rapper Wale amesitisha mkataba wake na
record lebel ya Jayz ‘Roc Nation’ baada ya miaka mitano ya kazi na lebel
hio. Mtandao huo umeripoti kuwa Wale atasimamiwa na 77 North
Management.
POLISI UJERUMANI WAMUOKOA DIAMOND KUTOKA KWA WASHABIKI WENYE HASIRA !
KAFIKA UKUMBINI SAA 10 ALFAJIRI ! WASHABIKI WANASURI SHOW TANGU SAA 4 USIKU
PROMOTA MNAIJERIA AINGIA MITINI ,DJ APATA KISAGO HETI VYOMBO VIBOVU ! HAIBU
Subscribe to:
Posts (Atom)