MTOTO ANYAKUA MILIONI 50 ZA TMT!!!
Mwanaafa LIBUYU mara baada ya kukabidhiwa mfano wa Hundi ya Shilingi
Milioni 50 za Kitanzania Mara baada ya Kuwabwaga Washiriki wenzie tisa
na Kuibuka Mshindi wa Kitita Cha Milioni 50 za Kitanzania katika Fainali
ya Kusaka Vipaji Vya Kuigiza Nchini lijulikanalo kama Tanzania Movie
Talents ( TMT ) ambalo limefikia Ukingoni Jana Katika Ukumbi wa Mlimani
City ....Hongera Sana
No comments:
Post a Comment