Monday, 1 September 2014
Kuhusu Mapokezi Ya Hili Jina la Filamu Ya Tano Ya Terminator Ya Arnold Schwarzenegger.
Terminator: Genisys”. Jina hilo ambalo limetangazwa na Arnold Schwarzenegger limepokea comment na mitazamo hazi kutoka kwa mashabiki wake. Kampuni za Paramount Pictures na Skydance Productions zinazosimamia filamu hizi pia zimekandiwa kwa jina bovu la filamu kubwa kama hii inayopendwa dunia nzima.
Maneno Terminator: Genisys limeonekana kwenye kiti huku Arnold akiwa amekikalia kama ishara kuwa jina limepitishwa.Hii ni filamu ya tano ya Terminator kuigizwa na Arnold Schwarzenegger na imetajwa kutoka kupitia Paramount Pictures mnamo July 1, 2015.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment