Wazazi na wapenzi wa muda mrefu Angelina Jolie na Brad Pitt wameripotiwa
kufunga ndoa jumamosi ya 23 August 2014 kwenye sherehe iliyofanyika
Ufaransa na kuhudhuriwa na ndugu,familia na marafiki wachache.
Vyanzo vingi vya habari vimeripoti kuwa Familia yao tayari inawatoto
sita ambao ni Pax, Maddox, Zahara,Vivienne, Shiloh ,Knox na Angelina na
Brad walikutana na kupendana kwenye filamu ya Mr/Mrs Smith na kuanza
mahusiano mwaka 2005. Officially walikuwa wachumba mwaka 2012 na huu ni
mwaka wa tisa wakiwa kwenye mahusiano.
Ata baada ya kutumiwa mwaliko baba wa Angelina Jolie ‘Jon Voight’ hakuonekana kwenye ndoa ya mtoto wake.
No comments:
Post a Comment