Monday, 1 September 2014

"NAMPENDA SANA MUME WANGU CHOCHOTE ATACHONIAMBIA NIMFANYIE NAFANYA HATA KAMA KIPO NJE YA UWEZO WANGU"....JACKY WA CHUZI



Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Jack alisema isingekuwa kuilinda ndoa, asingekubali auachie mwili wake aonekane bonge nyanya kiasi hicho alichonacho hivi sasa.

Jacqueline Pentezel akiwa na mume wake, Gadner Dibibi 
“Napenda sana kumsikiliza mume wangu, chochote anachokihitaji nitakifanya hata kama kipo nje ya uwezo wangu, nitajitahidi tu. Sasa alivyoniambia kuwa anapenda mwili wangu uonekane wenye supu supu na minofu mingi nikakubali ndiyo maana nimejiachia” alisema Jack.

No comments:

Post a Comment