Mtandao wa XXL umeripoti kuwa rapper Wale amesitisha mkataba wake na
record lebel ya Jayz ‘Roc Nation’ baada ya miaka mitano ya kazi na lebel
hio. Mtandao huo umeripoti kuwa Wale atasimamiwa na 77 North
Management.
Repoti imesema kuwa Wale hana tofauti yeyote na lebel ya Roc Nation,ila
ni maamuzi ya kuboresha maisha na kazi zake za muziki. Kwasasa Wale yupo
mbioni kukamilisha album yake ya The Album About Nothing.
Mtangazaji/mchekeshaji Jerry Seinfeld atakuwepo kwenye cd hii kama
ilivyotajwa mwaka 2013.Management ya 77 North imehusishwa na kusimamia
watu kama LeBron na bidha kama Beats na JohnnyFootball.
No comments:
Post a Comment