Saturday, 6 September 2014

AJALI YAUA 21 MAGU

             http://api.ning.com/files/iRGkQSu08csMAtQ7T*pA58r-UGJ1jGOl2yLVk-QVVR7WQ9zIaI5hKiAEY5Y1DXDDfnPDXaIA4wDLusAYPTQNDZDO7E2aAeMV/breakingnews.gifTAKRIBANI watu 21 wanahofiwa kupoteza maisha baada ya magari mawili ya abiria kugongana uso kwa uso leo majira ya saa 5 asubuhi mkoani Mwanza.
Ajali hiyo imelihusisha basi la J4 lililokuwa likitoka Mwanza kwenda Sirari lililogongana na gari aina ya Coaster eneo la Magu mkoani Mwanza.

No comments:

Post a Comment