Saturday, 6 September 2014

TAMASHA LA SERENGETI FIESTA KUFANYIKA KESHO MUSOMA

                     Mkurugenzi wa Ufundi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba (wa tatu kutoka kushoto mbele) leo amesema Tamasha la Fiesta lililoahirishwa Musoma kutokana na ajali, litafanyika kesho, Jumapili.

No comments:

Post a Comment