Mcheza shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond,’ Moses Iyobo (katikati).
Mcheza shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond,’ Moses Iyobo amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuenea uvumi wa kutoka kimapenzi na mcheza filamu mahiri Bongo, Aunt Ezekiel kuwa hawezi kumuacha msanii huyo ng’o.

Akizungumza
na Ijumaa hivi karibuni, Moses alisema kuwa kutokana na maneno mengi
kuenea kuwa anatoka na Aunt, ameona ni bora aweke wazi hisia zake kwamba ni kweli anampenda msanii huyo na kuwa naye mbali itakuwa vigumu.
“Mengi
yameongelewa sana sasa naweka wazi kuwa nampenda sana Aunt. Unajua kama
mtu haukuwa na uhusiano naye mara unaanza kusikia vitu
vya ajabu bora tu ufanye kweli hata kama wanakusema wakuseme kihalali
na si vitu ambavyo si vya kweli,” alisema dansa huyo ambaye ni mume wa
mwanamke aliyefahamika kwa jina moja la Mwengi.
No comments:
Post a Comment