Cristiano Ronaldo amechaguliwa kuwa mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora wa ulaya, Cristiano alikuwa akiwania tuzo hii na wachezaji Manuel Neur na Arjen Robben.Mwaka jana mshambuliaji wa Bayern Munich, Frank Ribery ndio alishinda. Ronaldo ameshinda kwa kuwa na kura nyingi zaidi zilizopigwa na waandishi wa habari za michezo 54.Picha za Ronaldo akikabidhiwa tuzo yake.
No comments:
Post a Comment