50
Cent na Floyd Mayweather ni vijana wenye historia ndefu ukizingatia
waliwahi kuwa marafiki wa karibu sana na hata kufanya kazi pamoja. Baada
ya kuwa na tofauti kati yao wamekuwa wakitupiana vijembe na utani
mwingi kwenye mitandao ukiwemo utani wa hivi karibuni wa 50 Cent kuhusu
Floyd ambapo 50 alisema Floyd Mayweather hajui kusoma lugha ya
Kingereza.
Sasa 50 Cent mechukua picha ya bondia Manny Pacquiao ambaye ni mpinzani
mkubwa wa Mayweather na kuipost ikiwa na ujumbe “SENDS TEXT TO FLOYD
KNOWING HE CAN’T READ.” akimaanisha Manny anamtumia text Floyd akijua
hawezi kusoma.
No comments:
Post a Comment