Friday, 29 August 2014

Haya Ndio Makundi Ya Champions League Yalivyopangwa Na Timu Zilizomo

Droo ya ligi ya mabingwa wa Ulaya imefanyika kwa upangaji wa makundi ya michezo hio huko mjini Monaco nchini Ufaransa.Haya ndio makundi na timu zilivyopangwa

Kundi A
Atletico Madrid
Juventus
Olympiakos
Malmo

Kundi B
Real Madrid
Basel
LIVERPOOL
Ludogorets

Kundi C
Benfica
Zenit St Petersburg
Bayer Leverkusen
Monaco

Kundi D
Arsenal
Borussia Dortmund
Galatasaray
Anderlecht

Kundi E
Bayern Munich
Man City
CSKA Moscow
Roma

Kundi F
Barcelona
Paris St-Germain
Ajax
Apoel Nicosia

Kundi G
Chelsea
Schalke
Sporting Lisbon
Maribor

Kundi H
Porto
Shakhtar Donetsk
Athletic Bilbao
Bate Borisov

ulaya 9 ulaya 10

No comments:

Post a Comment