Friday, 29 August 2014

KAMA ULIKUWA HUFAHAMU HUYU NDIYE MTOTO WA B-DOZEN WA CLOUDS FM

Inawezekana umefahamu mengi sana kuhusu mtangazaji wa radio Hamis Mandi aka B-12 aka B-DOZEN wa kipindi cha XXL cha Clouds FM huenda ulikuwa hufahamu kuwa ni baba au hujawahi kumuona mtoto wake.
Kupitia Instagram Dozen ameamua kushare na mashabiki wake picha ya mtoto wake wa kiume.
''My son is cool like that...'' ameandika Dozen katika caption ya picha hiyo (juu)

No comments:

Post a Comment