email ktk kwa Mh MB kwenda kwa kiraruraruKuwa
uyaone mengi sio maghorofa bali ni vituko vya binaadam katika hii dunia
just imagine Zitto anavyoabika sasa hivi daaah, hivi kweli kuna mwanaume
aliekuwa mahabani na Diva naye akasema nina girlfriend?? baada ya Zitto
kumkana Drama Queen kwamba hatoki naye sasa drama queen amtolea za uso
na kutoa moja ya email aliotumiwa na zitto mmmh Diva,Diva,Diva huendani
na jina lako jus take a chill n relax, sijui unafanya comedy,attention
seeker but you know better ila haipendezi punguza ama muone Dr .....
namfananisha Diva na wale wanaume wa vijiweni ambao wakishagonga sehemu wanatangaza mtaa mzima,
kwani
akipiga kimya atakufa? mmmh Zitto kazi unayo na ndani ya moyo wako sasa
unajutaa kumjua Diva, ndio hivyo uliingia choo cha bibi mwibula halafu
kimejaa...
we do the seeking and you do the judging...... |
No comments:
Post a Comment