Rolf Buchholz, Mjerumani anaetajwa kuwa mtu mwenye vipuli vingi zaidi usoni
Rolf Buchholz,mjerumani anaetajwa kuwa mtu mwenye vipuli vingi zaidi usoni akiwaamejitoboa zaidi ya mara 100 usoni amekataliwa kuingia dubai kutokana na sabasabu kiusalama. Rolf alikuwa amejipanga kufanya onesho la salakasi na kikundi chake nchini humo ambacho huonesho michezo mbalimbali ikiwa ni pamoja kucheza mapanga
No comments:
Post a Comment