Thursday, 28 August 2014

Picha,Gari Alilopewa Angel Di Maria Na Wadhamini Wa Man United

Baada ya usajili mnono wa Man United wa paundi milioni 59.7 kutoka Real Madrid,Angel Di Maria amekuwa mchezaji aliyeweka rekodi ya kusajuliwa kwa ada kubwa zaidi na timu ya Uingereza baada ya kuvunja rekodi iliyowekwa ya paundi milioni 50 ...
Di Maria atavaa jezi namba saba na amepewa hii gari jipya aina ya Chevrolet kutoka kwa wadhamini wa Man United.

No comments:

Post a Comment