
Roma amesema kwa sasa anajenga misuli ili wakati ukifika wa kufanya muziki wake kimataifa umpatie faida zaidi kwa kuwa atakuwa amefanya kazi kulenga soko fulani na atafanya kulingana mahitaji ya soko hilo.
“Mimi naangalia soko langu lilipo..me naangalia sana swala la mkwanja hiyo inanipa hofu.huwezi ukaenda ku shut nje halafu unataka soko lako liwe Dar Live.Unashangaa msanii anafanya hivyo lakini sijawahi kumsikia akifanya show Nigeria au south Afrika” amefunguka Roma na kusema kuwa target ya kwa sasa ni Tanzania.
No comments:
Post a Comment