ANGALIA PICHA ZA HUYU MWANAUME WA KIPEKEE AFU COMMENT
Micah ni mwanaume…lakini ana hips kama au zaidi ya mwanamke! Zile hips
ambazo baadhi ya wadada huzitamani kiasi cha kuamua kuzitafuta kwa
daktari.
Kijana huyo ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia
mwenye miaka 20 kutoka Chicago, Marekani, amechukua headlines kutokana
na umbo lake kuwashangaza wengi.
Hivi ni vipimo vya mwili wake:
No comments:
Post a Comment