Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’.
KWA MARA YA KWANZA MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI, ZITTO ZUBERI KABWE AMEIBUKA NA KUZUNGUMZIA UHUSIANO WAKE NA MTANGAZAJI WA CLOUDS FM, LOVENESS MALINZI ‘DIVA’ NA KUFUTA UVUMI MZITO ULIOKUWA UKIZAGAA KUWA WAWILI HAO NI WAPENZI.
Zitto
alifunguka hayo juzi kupitia kipindi cha MkaTelevesheni ya East Africa ambapo alikanusha kuwa hana uhusiano wowote
wa mapenzi licha ya kudaiwa kutungiwa wimbo na mtangazaji huyo kama
ishara ya penzi lao.“Mh! Kama yeye amenitungia wimbo sijui lakini mimi
sina uhusiano naye wowote wa kimapenzi,” alisema Zitto.
Katika
mahojiano hayo, mheshimiwa huyo alifungukia skendo nyingine
inayomhusisha kutembea na staa wa Bongo Fleva, Mwasiti Almasi na kudai
hakuna ukweli wowote juu ya ishu hiyo.
No comments:
Post a Comment