Mwigizaji Lord Richard [Babu Wa Jurassic Park] Afariki Dunia
Mshindiwa wa tuzo mbili za Oscar mwigizaji Lord Richard Attenborough
amefariki Uingereza akiwa na miaka 90. Richard ulimuona kwenye filamu
kubwa duniani kama The Great Escape na Jurassic Park. Richard aRichard amehusika kwenye filamu nyingine kubwa kama Doctor Doolittle ,
The Sand Pebbles, A Chorus Line na Cry Freedom iliyohusu vita dhidi ya
apartheid na maisha ya mwanaharakati Steve Biko huko Afrika Kusini.
mekuwa
mwongozaji wa filamu wa muda mrefu na filamu aliyoongoza ambayo ilikuwa
kubwa sana ni Gandhi ambayo ilimpa tuzo mbili za Oscar kama mtayarishaji
bora mwaka 1983 na ni filamu bora iliyorekodiwa ambayo pia ni Gandhi.Richard amehusika kwenye filamu nyingine kubwa kama Doctor Doolittle ,
The Sand Pebbles, A Chorus Line na Cry Freedom iliyohusu vita dhidi ya
apartheid na maisha ya mwanaharakati Steve Biko huko Afrika Kusini.
djnickahmady.blogspot.com
No comments:
Post a Comment