KWA WAPENZI WA HASHEEM THABIT ISOMEII Hasheem Thabiti atauzwa kwenye timu ya Philadelphia 76ers kwa mkataba wa
$1.25 milioni. Timu hiyo maarufu kama 'Sixers' ina hadi mwezi wa tisa
kufanya maamuzi endapo watamchukua ama lah! Hatua hii imechukuliwa kama
kushuka kwa kiwango cha Thabit katika mchezo huo.
No comments:
Post a Comment