Rapper T.I. amethibitisha kuwa album yake mpya ya “Paperwork” itatoka October 21, 2014
na tayari cover la album hii limesambazwa. Producer wa Album hii ambaye
ni Pharrell amethibitisha kuwa wamefanya nyimbo za kutosha na zinaweza
ata kutoa album mbili. T.I Pia amedokeza kuhusu kuwa na filamu ya album
hii ya PaperWork itakayohusu maisha ya T.I.
Kwenye interview na Hot 97, T.I Amesema “Paperwork is official,
itazungumzia maisha ya kazi ya T.I, matatizo aliyopitia na changamoto
zote za maisha yake ya kazi ” Hili ndio cover la album hii.
No comments:
Post a Comment